Hymn Song
How Great Thou Art
O Lord my God, when I in awesome wonder
Consider all the works thy Hands have made
I see the stars I hear the rolling thunder
Thy power throughout the universe displayed
Then sings my soul my savior God to Thee
How great thou art, How great thou art
Then sings my soul my savior God to Thee
How great thou art
How great thou art
When through the woods and forest glades I wonder
And hear the birds sing sweetly in the trees
When I look down From lofty mountain grandeur
And see the brook and feel the gentle breeze
And when I think that God His son not sparing
Sent Him to die I scarce can take it in
That on the cross, My burden gladly bearing
He bled and died to take away my sin
When Christ shall come, with shouts of acclamation
And take me home, What joy shall fill my heart
Then I shall bow in humble adoration
And then proclaim, “My God, How great thou art”
Gospel Song
Sala Zangu
Nilipokuwa kwenye shida ulinikumbuka bwana, Dunia iliponigeuka ukawa upande wangu.
Niliposhindwa na Maisha ulikuwa upande wangu, Dunia iliponigeuka ukawa upande wangu.
Maombi yangu yote Bwana, naleta mbele zako, na sala zangu zote Bwana natoa mbele zako.
Refrain
Unisikie Bwana, Unikaribie leo Sala zangu zote
Naelekeza kwako ee Mungu wangu
Dunia yote ni yako Bwana wewe ndiwe muumbaji.Tukimbie wapi kama wanadamu tuepuke mauti.
Ndipo nainua macho kukuelekea Bwana.
Msaada wangu wote leo watoka mbele zako, Maombi yangu yote Bwana naleta mbele zako,
Na sala zangu zote leo Naleta mbele zako.
MiguunipakoYesu, Mimi nimejiachia Nifundishenifinyange, Kama vile upendavyo.
Unisikie Bwana, Unikaribie leo, Sala zangu zote, naelekeza kwako Eh Mungu wangu
School Song
Bendera ya shule yetu, tazama ona inapepea Mwenendo wetu ni shwari, shule yetu yaenda mbele x2
Katika rangi za Marion, twaonyesha ubora wetu Juhudi na imani,shule yetu yaenda mbele x2
Alama ya amani, ukarimu hata usafi na hata ujasiri Shule yetu yaenda mbele x2
Ee Mungu bariki Marion, baba Mungu bariki Marion Tukae kwa umoja shule yetu iende mbele x2